Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Tafadhari naomba mtu anayewafahamu vizuri vijana hawa wa The Voice anifahamishe kama ndiyo wale waliokuja kuimba kwenye mkutano wa injili hapa Uk au la, nahitaji kuweka kwenye kumbukumbu zangu

    ReplyDelete
  2. Ndio wenyewe haswa. kumbukumbu gani unaweka kama we sio mzushi tu!

    ReplyDelete
  3. ndio hao hao

    ReplyDelete
  4. Asanteni kwa kunifahamisha japo ndg aliyeniita mzushi hajanitendea haki, nimesema ni kumbukumbu zangu siyo zake wala za mwingine yeyote, sasa hapo shida iko wapi hadi aniite mzushi. Hata hivyo nayapokea maneno yake japo kwa mtazamo hasi

    ReplyDelete
  5. ndio hao na mm pia nafanya nao kazi angalia hapa www.injilileo.blogspot.com

    ReplyDelete
  6. Ndg. Jackson Kato, asante sana. Kwa mara ya kwanza nimeitembelea blog yako nimefurahi kupata habari za injili toka huko nyumbani, endelea kutupasha zaidi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...