Baadhi ya Wadau wa habari na Watangazaji wa kipindi cha michezo kiitwacho Sporst Extra kupitia Clouds FM/TV Ibrahim Masoud a.k.a Maestro sambamba na Alex Luambano wakiwa ndani ya chumba chao cha habari Mikocheni jijini Dar,wakiaandaa kipindi chao cha spoti kinachoruka kila siku ya wiki kuanzia saa tatu kamili mpaka saa nne usiku,mbali ya Watangazaji hao pia kipindi hizo huwakutanisha mahiri wengine wa habari za michezo kama vile Shaffih Dauda,Mbwiga Mbwiguke na wengineo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...