Wadau Ellison Calvin Malyi na Jenipher John Njau wakijidai baada ya kumeremeta tarehe 9 Dec. 2012 katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri la Kijitonyama ikifuatiwa na mnuso wa kukata na shoka katika ukumbi wa Hellenic Club Upanga jijini Dar es salaam.
Wawili wapendanao
Picha ya familia baada ya kumeremeta
Full kupendeza nimewakubali! Ni watanzania au? Hongereni sana!
ReplyDeletekakaaaaaa safiiiiii white hongera mwana
ReplyDeletewatu wengine wanaropoka tu, kwani nani alikwambia wewe ya kwamba watanzania hawapendezi!
ReplyDeletenimeipenda mlibuni sana mavaz Mungu awabariki ktk ndoa yenu
ReplyDeletejamani mmependeza sanaaaa,jamaa kaoa model nini?
ReplyDelete
ReplyDeleteMEKUU UMEZIMKIA MPAKA UMEAMUA KUKAA CHINI HUTAKI KWENDA KOKOTE YAANI
MWANAUME UNAJUA KUPOZI WEWE,NATAMANI SANA KUPATA MWANAUME KAMA WEWE TENA UNAONEKANA UNA UPENDO WA KWELI.HONGERA DADA KUMPATA BWANA KAMA HUYU.MDAU LONDON.
ReplyDeleteHONGERENI MLIPENDEZA SAAAANA, NAWATAKIA MAISHA MAREFU YENYE UPENDO KATIKA NDOA YENU.HAKUNAGA KAMA JENIPHER. BABA PATRICIA - NETHERLANDS
ReplyDeleteNaona Jenipher unamvuta Elly mwende kucheza kombolela! Aaaah mlipendeza sana sana. Najuta kuikosa hii Harusi!Naona Mzee wa Mbarika unavutwa mkono ila unadeka kama hutaki vile! Hahahahahahahaha! Kila la heri katika maisha ya ndoa karibuni kwenye chama. Baba Patricia - Netherland's
ReplyDelete