Waziri Mkuu,Mizengo Pinda (katikati) akizungumza na Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Mpanda,Selemani Mbazi (kulia) mara baada ya kuonana na uongozi wa Sacos ya Maji Moto Katavi.Benki ya CRDB imetoa msaada katika Sacos hiyo,ambao ni mlango wa chumba cha kuhifadhia fedha (sefu) pamoja na kujenga kaunta ya kisasa kwa ajili ya kuhudumia wateja.Kushoto ni Diwani wa Kata ya Maji Moto,Nyasongo Serengeti.
Jengo la Sacos ya maji moto kama lionekanvyo.Picha na Chriss Mfinanga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...