Meneja wa Bia ya Castle lager,Kabula
Nshimo (katikati) akizungumza leo kwenye kikao na waandishi wa
Habari kilichokuwa kikiwatangaza washindi wa Castle Lager Super Fan
watakaokwenda kuiwakilisha Nchi kwenye fainali ya mataifa ya Afrika
ambapo wataungana
na washindi wa nchi nyingine kuunda timu ya ushangiliaji ya Afrika
United Team.wengine pichani ni Washindi wa Castle Lager Super fan Yahaya Hamza toka mkoani Mwanza na Filbert Nestory toka Dar Es Salaam
Washindi
wa Castle Lager Super fan Yahaya Hamza toka mkoani Mwanza na Filbert
Nestory toka Dar Es Salaam wakiwa na Meneja wa Bia ya Castle
lager,Kabula Nshimo (katikati) kwenye kikao na waandishi wa Habari
kilichokuwa kikiwatangaza kuwa washindio na kujiandaa kuiwakilisha Nchi
kwenye fainali ya mataifa ya Afrika ambapo wataungana na washindi wa
nchi nyingine kuunda timu ya ushangiliaji ya Afrika United Team.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...