Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akijaribu kupiga marimba wakati kikundi cha hiyari ya moyo ambacho kilikuwa kikitoa burudani katika mkutano wa hadhara katika kijiji cha songa mbele kata ya nsimmbo
Ofisa Tawala (RAS) wa Mkoa wa Katavi,Eng Emmanuel Kalobero akimuonyesha Waziri Mkuu,Mizengo Pinda shamba lake ambalo amepanda miembe na mahindi kwakufuata kanuni bora za kilimo.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwa katika shamba la Ofisa Tawala (RAS) wa Mkoa wa Katavi,Eng Emmanuel Kalobelo akiangalia anavyo panda miembe ya kisasa.kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi,Dkt. Rajabu Rutengwe anayefuatia ni Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Katavi,Anna Lupembe.Waziri Mkuu yupo katika jimbo lake kuhimiza kilimo na kuwataka viongozi kuwa mfano kwa wananchi katika kilimo cha kisasa.Picha na Chris Mfinanga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...