Waziri wa Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiongea na Mkurugenzi wa Kituo cha Mpango wa Vijana wa nchi wananchama wa Jumuiya ya madola Kanda ya Afrika Bwana James Douglas (kulia) kuhusu rasimu ya Katiba ya Baraza la Vijana wa Jumuiya hiyo.
Waziri wa Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiongea na Mkurugenzi wa Kituo cha Mpango wa Vijana wa nchi wananchama wa Jumuiya ya madola Kanda ya Afrika Bwana James Douglas (kulia) kuhusu rasimu ya Katiba ya Baraza la Vijana wa Jumuiya hiyo.Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana Bwana James Kajugusi.(Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...