Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk watatu kutoka kulia akiongoza Vikundi mbalimbali vya Mazoezi katika Bonanza la Nne kuelekea Uwanja wa Aman Mjini Zanzibar kulia yake ni Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui.
Vikundi mbalimbali vya Mazoezi vilivyo shiriki katika Bonanza la Nne la Vikundi vya Mazoezi vikielekea Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar.
Vikundi vya Mazoezivilivyo shiriki katika Bonanza la Nne la Vikundi vya Mazoezi vikiingia ndani ya Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na MichezoSaid Ali Mbarouk akipokea Vikundi mbalimbali vilivyo shiriki katika Bonanza la Nne la Vikundi vya Mazoezi Zanzibar.
Vikundi mbalimbali vya Mazoezi vilivyo shiriki katika Bonanza la Nne la Vikundi vya Mazoezi vikifanya Mazoezi ya Viungo ndani ya Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na MichezoSaid Ali Mbarouk akitoa Hotuba ya kuwapongeza Wanavikundi na kuwapa hongera ya Mwaka mpya baada ya kushiriki katika Bonanza la Nne la Vikundi vya Mazoezi Zanzibar.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na MichezoSaid Ali Mbarouk akitoa Zawadi kwa Vikundi mbalimbali vilivyo shiriki katika Bonanza la Nne la Vikundi vya Mazoezi Hapo Uwanja wa Amani Zanzibar.
PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...