Bondia Bernad Mackoliech wa kenya na Mtanzania Thomas Mashali wakioneshana ufundi wa kutupiana makonde wakati wa mchezo wao wa ubingwa wa Afrika Mashariki Mashali alishinda kwa K,O raundi ya sita |
Baadhi ya mashabiki waliojitokeza katika mpambano huo wa ubingwa wa Afrika Mashariki |
Kamanda wa polisi mkoa wa Kipolisi wa kinondoni Charles Kenyela akimvisha ubingwa wa Afrika Mashariki bondia Thomas Mashali baada ya kumpiga Bernad Mackoliech wa Kenya kwa K,O Raundi ya 6. |
Refarii Mark Hatia akimwesabia Bondia Bernad Mackoliech huku akimuamuru Thomas Mashalikwenda katika kona nyeupe baada ya kumtwanga konde zito lililomsababisha kulamba sakafu wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Afrika Mashariki picha nawww.superdboxingcoach. |
ALIVYOMGARAGAZA sio ALIVYOMGALAGAZA!!
ReplyDelete"Piga ua galagaza" mi ntasema "ALIVYOMGALAGAZA".
ReplyDeleteMie ntasema hongera bondia wetu kwa kuweka heshima ya nchi.Nafurahi zaidi kuona tasnia ya ngumi inavyofanya vizuri ktk ukanda wa afrika, tunajivunia mabondia wetu kwa sifa sahihi waileteayo nchi.Hongera Thomas Mashali kwa ushindi mzuri.
ReplyDeletePiga ngumi Mkenya huyo!
ReplyDeleteAkitoka hapo akavue Glovu na kuwahi Kericho akavune chai kwao Kenya mashambani!
Hatuwezi Wa Tanzania kukosa kila kitu!
ReplyDeleteMpira hatuna chetu, Riadha ndio kabisaaa na ngumi pia ?
Haiwezekani ikiwa ngo'mbe hakupewa ndevu kama mbuzi basi ng'ombe atapata hata angalau sharubu tuu!