TAARIFA ILIYOIFIKIA GLOBU YA JAMII ASUBUHI HII,INAELEZA KUWA SEHEMU YA UKUTA WA MAEGESHO YA MAGARI YA WATU WANAOSINDIKIZA ABIRIA KWENYE STENDI KUU YA MABASI YAENDAYO MIKOANI UBUNGO JIJINI DAR UMEANGUKA NA KUANGUKIA BAADHI YA MAGARI YA WATU YALIYOKUWA YAMEEGESHWA KATIKA SEHEMU HIYO.

HAIJAFAHAMIKA MARA MOJA CHANZO CHA KUANGUKA KWA UKUTA HUO NA HAKUNA MTU YEYOTE ALIEDHULIKA NA AJALI HIYO ZAIDI YA MAGARI HAYO KUHARIBIKA VIBAYA.

GLOBU YA JAMII INAENDELEA KUFUATILIA KUTOKEA KWA TUKIO HILO NA TUTAENDELEA KUFAHAMISHANA ZAIDI HAPO BAADAE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kama hapakuwa na tetemeko ni mkandarasi mbovu...afungwe kwa kuhatarisha maisha ya watu na mali za watu...!!

    ReplyDelete
  2. KUSEMA KWELI KWA HILI MABLOGISTS ITABIDI MJIPANGE UPYA MAANA MMECHEMSHA. TUKIO LA ASUBUHI MPAKA SASA HIVI HAKUNA PICHA. ACHENI UBAHILI NA VYA BURE BURE TOENI CHENJI. MNGEPATA PICHA TOKA KWA WATU WALIOKUWA KWENYE TUKIO. KUNA JAMAA ALIKUWEPO HUKO NA ANA PICHA KIBAO KWENYE MOBILE YAKE,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...