Mwaka 2013 NOKIA Wameboresha mambo kwa kuweka lugha ya Kihaya kwenye simu na mambo yatakuwa kama ifuatavyo:-
Phonebook EKITABO KYE SIMU
Names AMABALA
Time IZOBA
Ringtone EMYETO
Setting EMITEKANISO
Call KUTELA
Missed call ESIMU ETATOLWA
Receved call ESIMU EZATOLWA
Dilled call ESIMU EZATELWA
Game EMIZANO
Menu EBILIMU
Vibration EMICHUNDAIGUKO
Vipi situtaipenda?
FURAHIA ULIMWENGU MPYA WA DIGITAL..
KUTELA NI SAWA NA KUTERERO SIO?
ReplyDeleteHapana sio katerero, Katerero ni jina la kijiji wilaya ya muleba, kama unaelekea bandari ya pili ya ziwa victoria... ila ilitafsiriwa vibaya.
ReplyDeleteHahahaha. We ni noma
ReplyDeleteMimi sasa hivi ninaendelea kukonda kwa sababu sikuana kitu cha kuchekesha.
ReplyDeleteGOT "ZERO"
ReplyDeleteSawa kwa Utani wa Jadi mimi Mzigua najibu mapigo ya Mtani wangu Mhaya kwa kutoa Nokia hiyo hiyo 2013 kwa Kizigua:
ReplyDelete.Phonebook-ICHITABU
.Names-AMAZINA
.Time-UMUDA
.Ringtone-IMIILO
.Setting-IVYO UKUIKIGWA
.Call-TOWA
.Missed call-ZISWESIZE
.Received call-ZIHOKELWE
.Dialed call-ZITOIGWE
.Game-MISEZIGO
.Menu-SAGULA
.Vibration-MZINGIZO
Mpo hapo?
Mgosi wa Kaya na mimi nimejibu mapigo nami nataka NOKIA msambaze Dunia nzima kwa Lugha ya Kizigua.
Kwa Lugha za Jadi inawezekana!
ReplyDeleteTumeshuhudia Biblia zikiandikwa kwa lugha kama Kinyamwezi,Kigogo,Kihehe,Kinyakyusa,Kinyasa na lugha zingine Kibao sasa itakuwa katika Mzingo wa Biashara wa simu za Mikononi kwa lugha za makabila?
Hii inawezekana kabisa kama tutapeleka Makao Makuu Nokia Finland, lakini kwa nia ya kukuza Utamaduni wa Makabila yetu na sio kuchochea Ukabila.
Kutakuwa na MASHARITI YA TAFSIRI KWA LUGHA ZOTE hiyo iwepo pia ktk muundo huo wa simu kwa lugha za makabila mfano kutumia Google waweke translations ili wengi wajifunze lugha za makabila nchini.
Uncle weka na ya wasukuma, sukuma waa!
ReplyDeletemzigua na mhaya watani toka lini? hebu tupisheee
ReplyDeleteMtoa Maoni wa 9 Anonymous wa Thu Jan 10, 07:57:00 PM 2013
ReplyDelete..Toa Ubishani kwa busra na sio Jazba hapa ni jamvi la Kistaarabua.
Kwa kawaida Utani wa Jadi huenda Kikanda.
Waliopo Kusini mara zote Watani wao wapo Kaskazini, na waliopo Mashariki Watani wao wapo Magharibi.
Sasa kwa kuwa Mzigua yupo Mashariki ni wazi Mhaya aliyepo Magharibi (kama wajulikanavyo Wahaya wao ni watu wa Ziwa Magharibi) Mzigua atakuwa Mtani wake!
Wewe Mtoa Maoni wa nane 8 unatakiwa mwenyewe Uende Kiditali kwa kuweka hewani wewe Msukuma kwa lugha yako ili wana jamvi humu wajue...
ReplyDeleteYeye Uncle ni Balozi wa Jamvi letu, ukituma atarusha hewani!
na mimi msukuma natoa yangu
ReplyDeletePhonebook-SHITABO
.Names-MALINA
.Time-AMASAA
.Ringtone-MALILILO
.Setting-MABHEGEJO
.Call-LILA
.Missed call-LILA NJIMEJI
.Received call-LILA MBOKELWA
.Dialed call-LILA NTULWA
.Game-LIGUSHA
.Menu-BOCHOBI
.Vibration- MIDETEMO
HAPO VIPI???
Na mimi Mwarabu wa Zanzibari, lakini (Mwarabu mwana Mapinduzi) sio Mwarabu wa Uamsho tafadhali mnisamehe Wallahi msiniweke Kundi hilo, nami msiniweke nyuma Ki Digitali nawashukia kwa
ReplyDeleteLugha yangu ya Kiarabu !!!
. دليل الهاتف،-PHONEBOOK
. الأسماء-NAMES
دوام-TIME
. رنات-RINGTONE
. وضع-SETTING
. الحث-CALL
. مكالمة فائتة-MISSED CALL
وتلقى استدعاء-RECEIVED CALL
. المكالمات الصادرة استدعاء
DIALED CALL
. لعبة-GAMES
. القائمة،-MENU
. الاهتزاز-VIBRATION
Wallahi Nokia nafanya mimi mabata ushungu, mupo hapo mimi Malabu Bin Gobore Bunduk nasema?
Enheee Nokia kama ni suala la lugha za Makabila watavuna nyingi sana! k
ReplyDeleteKwa Makabila 126 ya Tanzania?