Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Rest in peace Kachu you will always be rememberd!!!
    G Mwaluli.

    ReplyDelete
  2. Pumzika kwa Amani mpendwa wetu Kachu. Tulikupenda lakini Mungu Amekupenda zaidi. Poleni sana mama Kamulindwa, Salum pamoja na wanafamilia wote. Mungu Awape Faraja yake na Amani katika kipindi hiki kigumu.

    ReplyDelete
  3. May your soul rest in peace sista Kachu. Mwenyezi mungu awape faraja na nguvu mama na Salum.

    ReplyDelete
  4. Rashidi FarajiJanuary 29, 2013

    Pole sana kaka Salum M/Mungu akupe nguvu katika wakati huu mgumu na tunamuomba ampumzishe kwa amani ndugu yetu huyu Kachu hakika tumempoteza rafiki bora sana

    ReplyDelete
  5. Poleni sana wafiwa na Mungu amlaze marehemu mahali pema peponi.

    Naomba kuuliza Jina Kachu Kamulindwa na Jina Mhina nayafahamu yote na pia sura ya Marehemu kama na ikumbuka. Nisameheni kama nime mfananisha na mtu tofauti, Je marehemu alisha wahi soma Oysterbay or kuishi maeneo ya Drive Inn Cinema?

    ReplyDelete
  6. Soo beutiful, yet gone too soon, My you Rest in Peace Kachu.

    ReplyDelete
  7. jamani anaroho nzuri sana huyu dada mtu alie kaa nae atanielewa ninachosema siamini kama ametutoka mungu akulaze mahali pema peponi amina imeniuma sana.lucresiam from finland.

    ReplyDelete
  8. R.I.P.lil cousin.
    Anon. Tue Jan 29, 08:46:00 am 2013, Kachu amesoma Oysterbay na amekulia Morogoro stores na siyo Drive-in.

    ReplyDelete
  9. Anony Tue Jan 29, 08:46:00 am 2013, ndio huyo.

    ReplyDelete
  10. Pumziko la Milele mpe ee Bwana na Mwanga wa Milele umuangazie. Apumzike kwa amani. Amina

    Poleni sana wafiwa. I am still shocked.

    F. Mwaluli

    ReplyDelete
  11. Poleni sana mama pamoja na salum tulifanya kazi wote skanphil colas JV Mlandizi. kwa kweli hizi taarifa zimenistua sana lakini haya yote ni mapenzi ya mungu hatuna budi kushukuru kwa kila jambo mwenyezi mungu atie nguvu wote walioguswa na msiba huu wa mpendwa wetu. Kachu nitakukumbuka daima maana una upendo wa kweli kwa kila mtu kwa rika zote.

    Its me Dada Amina

    ReplyDelete
  12. Thank you all for your encouraging words. will print this and share with the family!!

    Key thing is we continue to pray that the soul rests in peace and for mom and salum to have divine strength through this unbearable moment!

    Austin

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...