Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Dkt. Wilbroad Slaa akipandisha bendera ya Chama kuashiria uzinduzi wa tawi Jipya la CHADEMA Classic lililoko katika kata ya Longuo mjini Moshi.
Meya wa manispaa ya Moshi,Jafary Michael akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi la Chadema Classic lililopo kata ya Longuo mjini Moshi.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Dkt. Wilbroad Slaa akikata utepe wakati akizindua tawi la vijana wa CHADEMA la Aslam Garage mjini Moshi.
Diwani wa viti maalum,Hawa Mushi akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi la vijana wa Chadema katika eneo la Aslam Garage mjini Moshi.
Mwenyekiti wa Baraza kuu la vijana wa Chadema (BAVICHA),John Heche akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi la Chadema classic lililopo kata ya Longuo B mjini Moshi.Picha na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kidumeeeeeeeeeeeeeee! watu haaaaaaaaaaaaaaa! mtalia sana mwaka huu wenye vijiba vua toho! sauti ya wengi ni sauti ya Mungu! People's pawaaaaaaaaaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  2. chalema !

    ReplyDelete
  3. huyu slaaa anapenda ushabiki huyuuuu!hatutaki rais mzeee..period

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...