Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nyangamba iliopo kwenye Kijiji cha Janda,Wilayani Buhigwe,Kigoma wakati alipoitembelea shule hiyo na kuangalia maendeleo ya Wanafunzi wa shule hiyo,alipokuwa kwenye ziara ya kukutana na wananchi wa Wilaya hiyo jana.
Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Muhinda kilichopo kwenye Wilaya Mpya ya Buhigwe,Mkoani Kigoma wakati akiendelea na Ziara yake ya kutembelea Kata zote zilizopo wilayani humo.Dkt. Asha-Rose Migiro amewataka wananchi wa kijiji hicho kuwa na mshikamano ili kuweja kunyanyua maendeleo ya kijiji na wilaya kwa ujumla.
Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro akipokelewa kwa shangwe na wananchi wa kijiji cha Viongozi mbali mbali wa CCM katika Kijiji cha Mnanila,Wilayani Buhigwe.
Viongozi wa kijiji wakitambulishwa.
KIGOMA yoooote 'rasmi' ipo mikononi mwa CCM!
ReplyDeleteKazi kwako Zitto Kabwe katafute Jimbo lingine, labda Ukagombee Arumeru na Joshua Nassari ama Mbeya Mjini na Sugu.
Kigoma huna chako ipo chini ya Daktari Asha-Rose Migiro,
Je, ifikapo 2015 muziki wake Mstaafu wa UN utauweza?
Duuh kila nikiangalia picha za mashabiki wa CCM huko mikoani,,suala la UMRI linaonekana dhahiri kabisa,,,wapenzi wa CCM ni walewale wa tangu enzi zile,,,CCM ina bahati sana,,watu hao walisha ivumilia sana CCM ile,,na bado wangali na CCM hii hii.Ina bahati kwa sababu watu wa UMRI huo bado wanaonekana hawajakata tamaa,,ingawa UMRI ndo ushaawacha,,,,sa hao wanaowaachia hawaonekani kabisa KUILEWA CCM kwa njia yoyote ile,,viongozi wa CCM inaonekana wanalazimisha IKUBALIKE kwa rika hili DOGO,,,wanatembelea mashule,,,wana andaa mashindano ya mipira n.k,,lakini ukweli ni kwamba WAMESHAIJUA rangi halisi ya CCM,,,hawadanganyiki hawa
ReplyDelete