Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Viongozi wa Tawi la CCM Afisi Kuu ya CCM
Kisiwandui,wakiwemo Viongozi wa Jumuiya mbali mbali za Chama hicho
katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo,MakamuMwenyekiti alifanya ziara maalum ya kusalimana na
Viongozi hao ikiwa ni pamoja na kuimarisha Chama cha Mapinduzi,(CCM)
(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,na (kushoto)
Mwenyekiti wa Tawi Nadra Juma Mohamed.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(wapili kulia) akizungumza na Viongozi wa Tawi la CCM Ofisi
Kuu ya CCM Kisiwandui,wakiwemo Viongozi wa Jumuiya mbali mbali za
Chama hicho katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini
Zanzibar leo,Makamu Mwenyekiti alifanya ziara maalum ya kusalimana
na Viongozi hao ikiwa ni pamoja na kuimarisha Chama cha
Mapinduzi,(CCM) (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali
Vuai, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Habari
ReplyDeleteKaka Michuzi mimi ni Awila Silla mwandishi wa habari Mwananchi na citizen.
Siku ile ya uzinduzi wa bara bara ya Itigi-Chaya Rais alimuahidi yule mama mlemavu wa viungo baiskeli, sasa nataka kuandika makala ya yule mama.
Shida yangu ni hii, Je, unaweza kunisaidia idadi ya walemavu kama yeye waliosaidiwa na Rais? Asante Naomba unijibu kupitia hapa awilafrnk@yahoo.com