Home
Unlabelled
EMBE DODO ZIKIINGIA MJINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
muhidin nikumbushiye mkuu hapa ndo wapi kidogo nimeusahau huu mtaa niko majuu mwangu ndo maana nakuomba unikumbushiye mtaa gani huu, i miss home sweet home na maembe dodo eee bwana eeeh unanikumbusha nyumbani mwangangu muhidin
ReplyDeleteHaya wandugu tuendelee kuumia na hili winter huku wkt wenzetu wanafaidi matunda bwelele. Huku tuendelee kuponea vitamini za vidonge
ReplyDeleteBwana Muhidini pumzika mimi nitamjibu huyu. Jibu ni hili hapa mtu wa majuu; ''hapo ni mtaa 32nd Street Manhatan na hiyo nyumba ya nyuma unayoiona ni Rockfeller Plazer. Je umetosheka?''
ReplyDeleteWe kama upo home sick si urudi kwani unazuiwa na mtu? Na kama umesahau majina ya mitaa nunua ramani usiwape watu kazi za kibwege bwege. I hope this will sort you out.
mdau wa tatu nimefagilia English yako. Halafu inaonesha ni jinsi gani unachuki binafsi na watu waliokwenda majuu. Acha chuki.
ReplyDeleteWatu wengine kama vile wana mharisho wa kimawazo, sasa aliyekuambia kwamba ukiwa majuu ndo huruhusiwi kuwa home sick ni nani? acheni mawazo finyu wananchi. Juzi kukikuwa na picha ya morogoro rodi ikikarabatiwa, wadau kibao wakakosea, mimi niko mamtoni mieka ishiri na ushee nilipo ona picha tu nikashtukia.
ReplyDelete