Baadhi ya wafanyakazi wa shirika la hifadhi za taifa (TANAPA) wakiwa na familia zao kwenye sherehe ya familia waliyokuwa wameiandaa hivi karibuni iliyofanyika kwenye bustani ya Triple A iliyoko sakina nje kidogo ya Jiji la Arusha.
Baadhi ya watoto wa Wafanyakazi wa shirika la hifadhi za taifa (TANAPA) wakicheza moja ya michezo iliyokuwepo kwenye hafla hiyo hivi karibuni.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...