Mstahiki meya wa jiji la Mwanza Mhe.Stanslaus Mabula na ujumbe wa kamati yake ya fedha wametembelea halmashauri ya manispaa ya Ilala kwa maagizo ya Mhe.Waziri Mkuu ili kujionea mbinu za kisasa za kukusanya mapato.
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya manispaa ya Ilala Mhe Jerry Silaa amewakaribisha na kuwaeleza jinsi walivyoweza na wanavyoendelea kukusanya mapato.
Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilala zinaanzisha Udada.
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya manispaa ya Ilala Mhe Jerry Silaa akiendesha kikao hicho
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya manispaa ya Ilala Mhe Jerry Silaa kitoa somo
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya manispaa ya Ilala Mhe Jerry Silaa katika picha ya pamoja na wageni wake kutoka Mwanza
Ina maana halmashauri hizi wanaendesha wanaume tu,kazi ipo gender sensitivity has increased perfomance in most work place.
ReplyDeleteLazima una matatizo ya macho au una utani na hao wanawake waliopo humo
ReplyDeleteMie nadhani suala si kungalia jinsia kwa macho ya huruma, ukijituma utaonekana tu bila ya kujari jinsia yako.
ReplyDelete