Hapana hapa sio migombani (Mosh) bali ni sehemu ya kiota kipya cha maraha kilichopo Boko Dovya nje kidogo ya jiji la Dar es salaam barabara ya Bagamoyo road njia panda ya Mbweni, mkono wa kushoto kutokea mjini. Kiota hiki kinatarajiwa kufunguliwa Januari 24, 2013 kwa mujibu wa meneja wake Bw. Solomon Laisser
Wadau wakipasha moto kiota hicho kabla ya ufungunzi rasmi Januari 24
Mkongwe wa Old Skul DJ Seydou ndani ya nyumba. Wanaokumbuka enzi za disko la Mbowe la RSVP watakuwa wanaijua khabari yake. Naye anaahidi kufanya makubwa mambo yakinza rasmi
Mandhari mwanana. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
kibo imeanza sasa hisaje park
ReplyDeletehii ndo boko!!!!!!
Dah ni kitu kizuri kama hme land
ReplyDeletenatumain mbege itakuwepo siku ya ufunguzi
Duhhh,
ReplyDeleteAnkali ahsante sana kwa kutuletea huyu Kigogo wa U-DJ nchini Dj SeyDou ahhh ni wazi Klabu hii itakuwa funiko la mwaka 2013 ndani ya Darisalama yetu hii!
Ehhh
ReplyDeleteDj. Seydou nadhani ndio Mkali pekee ambaye yupo ndani ya game hadi sasa.
Inshallah Mwenyezi amuweke kwa amani!
na mziki mkubwa wa dj seydou utawafukuza mbu, maana mbu na soud-bites mbalimbali.
ReplyDeletemdau
oldskool