Home
Unlabelled
KIJIWE CHA UGHAIBUNI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
True story watu wana roho mbaya na ni mbaya haswa. Mimi nilifiwa na mke wangu 5 years ago, nikampigia simu jamaa namwambie aje kwenye mazishi. Akaniambia he is too busy. Nilishangaa sana,sijui alifikiri tulikuwa tunataka mchango. No. Mpaka leo sijamuona ingawaje nasikia hutumia 6 months Bongo na 6 months hapa. Hiyo ndiyo naita roho mbaya. Sisi we needed moral support only.
ReplyDeleteMdau - Canberra Australia
Sasa "work permit" mnazipata vipi?
ReplyDeletekweli kabisa watanzania wakiwepo nje ya nchi wanakuwa roho mbaya, wengi hawapendi kusaidia wenzao na huwa hawapendi wenzao wakihamia sehemu walizopo wao, yaani wanaona kama vile unakwenda kuwachukulia chao ilhali nyote mnatafuta maisha.
ReplyDeletesikubaliani na sababu aliyotowa mdau kuwa yote ni stress kama ni stress kwa nini majirani zenu wakenya hawako hivi? wao huvutana na kusaidiana zaidi kuliko sisi.
Kubwa kwa watanzania ni kuchunguzana na kushindana ndani una nini, unaendesha gari gani n.k
mdau london
Mnategemea nini zaidi? wenzenu wako ulaya na marekani kimasoma na kutafuta maisha, tunashuhudia wakifanya mambo mawili matatu ya maana, ninyi mmehamisha kijiwe chenu cha bongo mmekipeleka kwenye nchi za wenyewe, mtakalia kijiwe hicho hadi mawe yaishe. Ushauri wa bure rudisheni kijiwe mlipokitoa , amasivyo kaeni kimya hamna la maana hapo, mko kijiweni na kijiweni mtasalia
ReplyDeleteMIWANI ZANINI NDANI YA NYUMBA JAMANI, MBONA SISI WABONGO TUNASHIDA HIVI
ReplyDeleteNimeipenda sana hii stori ya hawa washikaji, ebwana mzee wa vijimambo ikiwezekana tuletee sehemu ya pili ya kipindi kama hiki na wahusika hawa au hata wakiongezeka na wengine ili wazidi kutupa stori.Inavutia sana kuwasikiliza hawa jamaa jinsi wanavyo haso USA poa sana. Pia nawapa big up wote waliokubali kutoa stori zao, mitazamo na ndoto walizokua nazo kabla ya kufika USA na jinsi mambo waliyoyakuta mara tu walipofika.
ReplyDelete