Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. R.I.P SAJUKI

    ReplyDelete
  2. Ni maumivu kwakweli ila mi nasema bora kapumzika kateseka sn jamani kaka wa watu miaka 2 unaugua tu kateseka jamani kuna situation nyingine unasema bora kulikoni kuendelea kumuona anateseka. kusimama tabu, kutembea, kula, kuongea,

    ReplyDelete
  3. Kafa bil mauti waidhwa,yatoshe mauti kuwa makumbusho,pumzika Al habib

    ReplyDelete
  4. Poleni sana ndugu wa sajuki pamoja mkewe wastara

    ReplyDelete
  5. Wastara pole!! Lia utakavyo na mtu asikuzuie bcoz hawajui!!! But mungu huwa anatuwezesha kusonga kwa aina yake! Time is à healer!!! Iam sure itafika muda utakuwa ukimkumbuka sajuki unafurahi juu ya memories mlizokuwa nazo pamoja!!

    ReplyDelete
  6. Mwashangaza kweli.
    Umaarufu wa wasanii hawa manaowatetemekea hivi unazidi wakulima wanaotaabika kila uchao kuwatafutia chakula.Kweli Wtz hatuna kazi kabisa.Imebaklia domo tu<

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...