Katibu wa Simba, Evodius Mtawala akimwongoza kocha mpya wa klabu hiyo, mfaransa Patrick Liewing mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es salaam akitokea Ufaransa 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. He looks terribly haggard.

    ReplyDelete
  2. tanzania soka sio kocha wachezaji hawashibi wala hawana mlo wa mpangilio tutaleta makocha toka ahera mwisho ikiwa mpango wa msosi kila mtu anakula alicho pata au kujaaaliwa bora tufunge kambi uwanja wa ndege kwani makocha watakuwa wengi.
    salaam mdau.
    soko kuu iringa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...