Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wenza wa mabalozi wanao ziwakilisha nchi zao hapa Tanzania pamoja na wake wa viongozi wakati wa hafla ya Mwaka mpya(New Year Cherry Party) iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia wenza wa Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania wakati wa hafla ya mwaka mpya(New Year cherry Party) iliyofanyika katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam . Kupata hotuba yake BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. HONGERA MICHUZI, NAONA UMETUMIA NENO WENZA. UNGETELEZA UKASEMA WAKE, HUYO JAMAA HAPO KWENYE PICHA ANGEKUSHTAKI.... HAHAHAHAHAH

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...