

Wadau
wa Babylon Club,Arusha katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa
Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Africa ulioletwa na DStv kupitia
channels zao za Super Sports. Experience The Spirit Of Africa...

Ndani ya Babylon Club, kama unavyoona kuna screens kubwa na nyingi...Zote zimeunganishwa na DStv
Meneja
Masoko wa DStv,Furaha Samalu(kulia) akiwa na mtangazaji wa Clouds
FM,Millard Ayo, wakati wa uzinduzi wa Mashindano ya Kombe la Mataifa ya
Afrika 2013 ndani ya Babylon Club. DStv wanaonyeshaji mashindano hayo
Live na katika HD kupitia Channels zao za SuperSport.
Sales
Coordinator wa DStv Kanda ya Kaskazini, Christopher Mbanjo, akiteta
jambo la Mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo(www.millardayo.com) wakati
wa ufunguzi wa mashindano hayo ndani ya Babylon Club,Arusha.
Macho yote kwenye screens mbalimbali zilizotapakaa ndani ya Babylon Club
Baadhi
ya mashabiki waliohudhuria kutizama mechi za ufunguzi za AFCON 2013
wakishuhudia mchezo wa kwanza wa mashindano hayo baina ya South Africa
na Cape Verde. Timu hizo zilikwenda sare ya kutofungana.
Panapo
watu haliharibiki jambo.Lakini...endapo lingeharibika basi hawa jamaa
walikuwa tayari kabisa kurekebisha au kutatua.Ndani ya Babylon
Club,Arusha.
Meneja
Masoko wa DStv,Furaha Samalu, akiwa na mdau wa soka ambaye alikiri
kwamba yeye huwaamini DStv pekee linapokuja suala la burudani kupitia
mchezo wa soka.
Soccer and Dance....Experience The Spirit Of Africa.
Waafrika bwana maisha tutabaki mwisho. Soccer kilabu cha pombe. Wenyewe kiota cha maraha.
ReplyDelete