Flora Mbasha and husband after their tour Scotland, they will be ministering this Sunday 6th January, 2013 at Vision Gospel Ministry International, Hackney Wick, 68 Wallis Road, E9 5HL, London. The service starts at 11.00 till 15.00. You are all welcome to praise our Lord together and admission is free.
Home
Unlabelled
mbasha scotland tour 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Michuzi huyo sio Flora ni mumewe nashabiki yao.
ReplyDeleteHuyu bwana ana raha sana maishani kwake, kwani kula kulala ni raha sana.
ReplyDeleteDu! Frola Mbasha amefanya plastic surgery ya uso.....makubwa haya....hata mwili umebadirika.
ReplyDeletehuyo flora mbasha lini kawa hivyo tena michuzi angalia vizuri huyo sio flora
ReplyDeleteheeee ,mbona kawa mdogo hivi au ndio mambo ya kujipenda!
ReplyDeletehuyo ni Mbasha & somesing,but not,the wife we know!mebbe its a mixup! yote sawa tu!labda kuna kitu tusichokijua!
ReplyDeleteHata mimi nikajiuliza ni macho yangu yananidanganya au kuna Flora Mbasha wawili?
ReplyDeleteMnyalu acha wivu
ReplyDelete