Mhandisi Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Gerald Urio (wa pili kushoto) akitoa maelezo ya Ujenzi wa Daraja kwa Meya wa Manispaa hiyo, Yusuph Mwenda (wa tatu kulia) aliyeambatana na viongozi mbalimbali wa Manispaa hiyo, Serikali za Mitaa na vyama vya siasa, kuangalia maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Mto Ndumbwi, Mbezi Juu, Dar es Salaam wakati wa ziara ya Meya ya uzinduzi wa ujenzi huo mwishoni mwa wiki. Daraja hilo linajengwa kwa gharama ya shilingi milioni 211.
Mhandisi Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Gerald Urio (kushoto) akimpa maelezo Meya wa Manispaa hiyo, Yusuph Mwenda (kulia) aliyeambatana na viongozi mbalimbali wa Manispaa hiyo, Serikali za Mitaa na vyama vya siasa, karika kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Mto Ndumbwi, Mbezi Juu, Dar es Salaam wakati wa ziara ya Meya ya uzinduzi wa ujenzi huo mwishoni mwa wiki. Daraja hilo linajengwa kwa gharama ya shilingi milioni 211.
Mstahiki meya, Yusuph Mwenda pamoja na viongozi mbalimbali wa Kata, Serikali ya Mtaa na wa vyama vya siasa wakikagua ujenzi wa daraja hilo.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Ndumbwi, Mbezi Juu, Salustian Kimario (wa pili kulia) akimpa maelezo Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (wa tatu kulia) aliyeambatana na viongozi mbalimbali wa Manispaa hiyo na vyama vya siasa kuangalia maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Mto ndumbwi, Mbezi Juu, jijini Dar es Salaam wakati Meya huyo alipofanya ziara ya uzinduzi wa ujenzi huo, mwishoni mwa wiki.

Tembelea Libeneke la Mtaa kwa Mtaa Blog kwa Picha Zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...