Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa jana Jumapili jioni alikuwa ni miongoni mwa waombolezaji waliofika kuaga mwili wa Marehemu Sufiani Bakari Kusaga,Nyumbani kwake Keko Maghorofani jijini Dar es salaam.

Marehemu Sufiani Bakari Kusaga alikuwa ni mume wa Mbunge wa zamani wa Jimbo la Temeke ambaye sasa hivi ni Katibu wa CCM Kishapu,Mh. Khadija Kusaga.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akimpa pole mfiwa,Mama Khadija Kusaga wakati alipofika nyumbani kwake Keko Maghorofani jijini Dar es salaam jana.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akimfariji mfiwa,Mama Khadija Kusaga.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwa katika mazungumzo na Mbunge wa sasa wa Jimbo la Temeke,Mh. Abbas Mtemvu wakati walipokuwa kwenye msiba huo jana jioni.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwasili msibani akiongozana na mwenyekiti wa CCM mkoa wa shinyanga,Hamis Mngeja.
Mwili wa Marehemu Sufiani Bakari Kusaga ukiswaliwa, kabla ya kusafirishwa kwenda Lushoto kwa mazishi.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa Akisalimiana na wananchi
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza na Kiongozi wa zamani wa Simba,Yusuph Azali kwenye msiba wa Marehemu Sufiani Bakari Kusaga,mume wa Mbunge wa zamani wa Jimbo la Temeke,Mh. Khadija Kusaga. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Huyu mheshimiwa gives me the impression that he really cares about people.Hope he does not change tutakapomvika kilemba.

    ReplyDelete
  2. Huyu ni Mzee Ayoub Chamshama, Mwenyekiti wa CCM Temeke na Sio Hazali.

    ReplyDelete
  3. Anonymous I agree, inspite of mambo ya ufisadi,you cannot help but admire his leadership style.I doubt ni impression kama ana jali watu mimi nina amini ni ukweli.Mara nyingi ukisoma habari ya Mh. Lowassa hakuna confusion au mambo ya evil ina mfollow. Sijui kama ata run for President.

    ReplyDelete
  4. kwele huyo ni Ayoub Chamshama ni mzee wangu Hazali, please correct

    ReplyDelete
  5. Hoja ya mgombea binafsi ni budi ikapitishwa kwenye katiba la sivyo busara na ukarimu watu wengine twaweza kkupoteza bure

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...