Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Siasa kwenye msiba jamani! huu ni uungwana?

    ReplyDelete
  2. siasa tko wapi hapa mbona siiomi

    ReplyDelete
  3. baada ya kuzungumzia wasifu wa marehemu na kuwapa pole wafiwa mnazungumzia mambo ya bunge na haki za wasanii!!!!!

    ReplyDelete
  4. mangi wa kiboshoJanuary 05, 2013

    Msanii mwingine huyo Zito! Uraisi Uraisi! unafikiri uraisi ni sawa na kuchunga mbuzi? Naombeni kujua elimu ya Zito.

    ReplyDelete
  5. Mdau unayetaka watu wazungumzie wasifu wa marehemu; unatakiwa uelewe kwamba marehemu ni muislamu na waislamu hawana taratibu za kusoma risala ya kwamba "marehemu alikuwa mchezaji hodari sana wa cricket, alikuwa ukimuomba chumvi kilo moja yeye anakupa kilo tatu".

    Kwa mujibu wa uislamu mtu akishakufa, anaombewa asamehewe na mola wake kisha anazikwa. Huko anakokwenda atajijua yeye na mola wake kwa mujibu wa jinsi alivyoishi maisha yake hapa duniani.

    Kwa hiyo usitake kulazimisha utamaduni wenu wa "wasifu wa marehemu" uwe ndiyo utamaduni wa wote.

    ReplyDelete
  6. Leanji KyangweJanuary 05, 2013

    Wewe Mangi wa Kibosho una elimu ya kiwango gani? Sema kwanza yako, ila nina uhakika Zitto amekuzidi mbali! Yaani mnamchukia kiasi ambacho nadhani mkiona tu sura yake mnakereka. Lakini habari ni kwamba mpende, msipende Zitto ana charisma, ni mkweli, ana upeo na Mungu akipenda siku moja atakuwa kiongozi wa juu wa nchi yetu nzuri. Pole kuwa yule kaka yako HANA mvuto hata wa kununua!! Hiyo ni asili, hailazimishwi.

    ReplyDelete
  7. zitto amefanya kitu kizuri kuongelea hilo jambo akimaanisha kuwa anamaasisha wasaniii kuwa na bima ili ikitokea mtu anahitaji matibabu sio mpak watu waanze kuchangishana na kuchukua muda wa matibabu. na pia ni vizuri kumjali mtu akiwa hai sio akiwa hayupo machoni kwetu ndio tunajitokeza kumzika na kusema mazuri yake. kazi nzuri zitto.ameonyesha kusikitishwa kwa njia nyingine kuwa bima ingesaidia kwa kiwango kikubwa na wasingekuwa mahali walipo .wewe unayemshangaa zitto itakuwa na mtu ambaye upeo kidogo wa kufikiria unakupiga chenga

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...