Leo Jumatatu January 14, 2013 tunawaletea sehemu ya pili ya gwiji la ukung'utaji wa kitaa la kati kutoka DRC, Lokassa ya Mbongo Jina alilopewa naTabu Ley Rochereau wakati akiwa na miaka 16, kaika sehemu hii ya pili Lokassa ataelezea mkasa uliomkuta yeye na wanamuziki wengine wanne baada ya kumkibia Tabu Ley na kujiunga na Sam Mangwana na jinsi gani walivyotaabika nchini Ivory Coast kwa kushinda pwani na usiku kulala sokoni, Je anatoa ushauri gani kwa wanamuziki wanaochipukia, Je katika zile nyimbo za Tanzania alizopiga vipande vipande zilizojulikana kama "NAIROBI NIGHT", pesa ya kuzitumia zile nyimbo alilipwa nani ? Tabu Ley na Sam Mangwana wapo wapi sasa hizi,pamoja na mambo mengine mengi USIKOSE KUMSIKILIZA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...