Waimbaji wa bendi ya Msondo ngoma wakiwajibika katika onesho lake maalumu la kumtambulisha mwimbaji mpya wa bendi hiyo,Othumani Kambi (wa pili kulia). wengine ni Hassani Moshi (kushoto) Eddo Sanga na Juma Katundu,onesho hilo lililofanyika katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni,jijini Dar.
Mashabiki wa bendi ya msondo ngoma music wakicheza kwa furaha wakati wa onesho maalumu la kumtambulisha mwimbaji mpya wa bendi hiyo,Othumani Kambi. Picha na www.burudan.blogspot.com.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Wadau naomna niulize mnijuze,

    Naona Mwana Yanga SC hapo picha ya chini akiserebuka.

    Je, hivi Msondo ni Bendi ya Mahsabiki wa timu ya mpira ya Simba SC au ni ya Mashabiki wa Timu ya mpira ya Yanga SC ?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...