MAELEZO YA MTOTO
- JINA ALILOPEWA NA BABU YAKE ABDUL – LATIF MOHAMED RAMADHAN
- JINA ALILOPEWA NA BABA YAKE MICHAEL LAZARO ALILOKUWA ANATUMIA SHULE
- BABA MZAZI LAZARO EMILIASS – ANAISHI IRINGA MAKAMBAKO
- BABU MZAA MAMA YAKE: MOHAMED RAMADHAN – ANAISHI MUSOMA.
- MAREHEMU MAMA MZAZI AMINA
- MAMA YAKE WA KAMBO: HAPPY ANAISHI NYEGEZI – MWANZA.
- AMETOWEKA TOKA 10/01/2013 KWA MATESO YA MAMA WA KAMBO.
- NAWAOMBA WAPENDA HAKI MUMSAIDIE KUMPATA BABA YAKE ANAEFANYA BIASHARA YA KUUZA VIAZI MVIRINGO HUKO IRINGA PIA NI DEREVA AU BABU YANGU MZAA MAMA YAKE YUPO MUSOMA.
- MTOTO HUYO ALIKUWA ANASOMA NYEGEZI A MWANZA, DARASA LA TANO B MWAKA JANA.
KWA MAWASILIANO ZAIDI:
KITUO CHA POLISI OYSTERBAY – OB/RB/794/2013
BARAZA LA VIJANA MASJID RAHMAN NAMANGA MAKANGIRA MSASANI, KINONDONI - DAR ES SALAAM
0779-644 934, 0715 344 934, 0784/0715 324 057, 0777/0715 854 629
0652 00 5497, 0715 816 040, 0763 666 247
Samahani lakini kila siku watu wengi hapa hupiga kelele juu ya utumiaji wa lugha ya kiswahili katika kueleza mambo mbali mbali.
ReplyDeleteNa hapa pia imekuwa tena, tangazo linasema kuwa mtoto anamtafuta baba yake mzazi, lakini tena tunaambiwa kuwa ametoweka kwa mama wa kambo, sasa kapata vipi mama wa kambo ikiwa baba yake mzazi anaishi iringa na mama wa kambo tunaambiwa anaishi mwanza.
Kuna kielelezo muhimu kimeshindwa kuelezwa hapa. Kama mnamtafuta baba mzazi wa mtoto huyu kwa nini humuanzi kwa kumuuliza mama wa kambo alipo mumewe?
Mama wa kambo ananitesa sana njoo nichukue baba...oooh njoo nichuukue baba
ReplyDelete