Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Vere sadi neuzi, hakuna ulabu tena kwenye ndege.

    ReplyDelete
  2. Wazungu siku hizi hamuwahusudu tena?

    Au riba?

    ReplyDelete
  3. Asanteni Mheshimiwa Jakaya na Mtukufu Sultan Qaboos Bin Said.ATCL iwaeleze hao wawekezaji inachohitaji kinunuliwe au kitengenezwe,kama ni ndege za kisasa 4 basi hawa wawekezaji wanunue hizo ndege wao wenyewe na kuzikabidhi ATCL,Tanzania tuna matatizo makubwa katika usimamiaji wa fedha.

    David V

    ReplyDelete
  4. Kwa nini hawa WACHAWI/WANGA wa humu nchini wasitufundishe tekinolojia ya kusafiri na Uongo hewani adha yote hii ya nini? lol

    ReplyDelete
  5. Hahaaaahaha! eti nini technology ya kupaa na UNGO? ur not serious mdau

    ReplyDelete
  6. Kwa Ubia huu wa Oman na ATCL tunatarajia huyu Mbuni wetu (ATCL) kwa mara ya kwanza ataruka kwa mbawa zake mwenyewe badala ya kwenda kwa mwendo wa miguu wa kusua sua na Ali jojo ingawa yeye ni ndege kama ndege wengine warukao!

    ReplyDelete
  7. Mdau wa kwanza anony Fri Jan 11, 02:26:00 AM 2013

    ...''Vere sadi neuzi, hakuna ulabu tena kwenye ndege''...


    HATA CHAI PIA NI KINYWAJI, BAADA YA NINYI ABIRIA KULEWA MIAKA NENDA MIAKA RUDI NDANI YA NDEGE ZA ATCL SASA MTAKUNYWA CHAI KWA MAANDAZI!!!

    ReplyDelete
  8. Mdau wa kwanza,

    Wala usiogope, Emirates na Qatar Airways ni madege ya Kiarabu lakini watu wanalewa ndani kama hawana akili!

    Kituko, unaweza kuona abiria ndani ya ndege hizi wakiwa na mavazi yao ya Kiimani wakinywa 'chai' au 'kahawa' huku hali zao zikibadilika kwenye kujitambua huku wakiwa na vikombe na themosi halisi kama za vinywaji hivyo na isiwe ni kahawa au chai ikawa ni mpango mzima wa Masanga!!!

    ReplyDelete
  9. Mtoa Maoni wa kwanza, huu ni muda wa kuenzi Utamaduni wa WaOmani na wa Mtanzania.

    Mlisha lewa sana ninyi abiria ktk madege ya ATC, mkawa wazito kufikiri na kuchangia mawazo ya kuboresha huduma hadi Shirika likawa halina maendeleo.

    Safari hii kwa huu Ubia na Oman mtakunywa TOGWA LA MTAMA(Tanzania) na KAHAWA BILA SUKARI(Omani) ndani ya ATCL!

    ReplyDelete
  10. This Good News no doubt!Pats to the government!Wasimamie na Menejimenti pia!tutashukuru sana,iwapo safari za ndani "domestic flights" za ndege ndogo ndogo wastani,kama yale ma Fokker yetu ya zamani,zitaimarishwa zaidi pande zote za nchi!Safari za Kimataifa ndiyo usiseme!Tusiwawekee vikwazo,lakini,msisamhau nembo za ndege,zirushe Alama ya Taifa,kama ni Twiga au Mlima Kilimanjaro au chochote kile,japo chache,au Za pande zote mbili kwa pamoja!Huu sio wakati wa kuchezea shilingi chooni!Komaeni Makamanda wangu!

    ReplyDelete
  11. ANON. WA 2

    WAZUNGU WAMEISHIWA!

    ReplyDelete
  12. Sasa Tsh.Bil 160 ndo pesa gani ya kuwekeza kwenye usafiri wa anga ama mnacheza tu. Hiyo pesa hupati hata Boeing 737 moja ya umri chini ya miaka 5. Mwekezaji alete mandege halafu ndo aje na pesa za kuendeshea kampuni.baada ya hapo, Fukuza wafanyakazi wote anza kuajiri upya kwa mahitaji ya kampuni. sio ndege moja mbovu wafanyakazi kibao, mzigo tu kwa sisi walipa kodi.

    ReplyDelete
  13. Mtoa Maoni wa kwanza, wewe ni kiwakilishi halisi cha Mtanzania!

    Mtanzania anajali sana Ulevi kuliko maendeleo!

    Nchi zinazoongoza ktk Ulevi duniani na aina yao ya Pombe:

    1.Urusi-Pombe kali/whisky
    2.Ufaransa-Mvinyo/Wines
    3.Ujerumani na Austria-Bia/Beer
    4.Afrika Kusini-Umkhomboti/Gongo au Kangara.
    5.Zambia-Dengelua la Kizambia/Ulanzi wa Kizambia na Bia
    6.Tanzania-Gongo na Kangara.

    Angalieni tumejadili sana mwanzoni mwa wiki hii kuhusu suala la Masaada wa Malezi ya watoto Mapacha watatu (3) wa Ndugu Edwin Rwechungura, wachangiaji wengi humu ndio wachangiaji wakubwa kwenye Harusi ambako hutoa Mamilioni ya Shilingi kwa Bajeti za Harusi ambazo wao baada ya Michango huhakikisha Mwanakamati mmoja anakuwa katika Mtandao wao ambaye atafanya juu chini ili Bajeti kubwa ya Harusi ielekezwe kwenye kununua Pombe na Ulevi.

    Wengi wa hawa watu ndio walikataa na walitoa kejeli nyingi kuhusu ombi hilo la Msaada wa malezi.

    Na ndio hao kama Madau wa kwanza ATCL imepata mwekezaji Oman yeye anawaza kupata mwkezaji atakaye dumisha huduma za Ulevi ndani ya ndege!!!

    Au ili kupata uhakika wa pombe ndani ya ndege za ATCL mngependa Mwekezaji awe ametoka nchi mojawapo hapo juu No.1 hadi No.5 ?

    ReplyDelete
  14. Mdau wa pili juu anony wa Fri Jan 11, 07:19:00 AM 2013

    Mzungu amefilisika hana uwezo wa Kiuchumi kama uanvyosikia Euro Financial Crisis jamaa wameanguka, na huko Marekani ndio hiyo Tax Cliff na Global Financial crisis,

    Zaidi Mzungu amebakia kuwekeza kwenye Kamari na Ulevi baada ya Kuanguka kiuchumi hata Kuendesha Mabenki wanazidiwa na Mabenki ya Kiislamu ya Kiarabu yanayokua kwa kasi ya ajabu na yanayozalishja Faida kubwa zaidi.

    Wewe angalia Klabu za Mpira za Ulaya zinavyotiririka kununuliwa na wamiliki wa Kiarabu.

    Waarabu na Wachina kwa Taarifa yako ndio Matajiri wapya wa Dunia hii.

    ReplyDelete
  15. utajiri unahama ulaya. Wanajikaza kisabuni tu wameishiwa kweli sio utani. Obama na Republican ilibidi waelewane kuokoa dollar. Nyie hamsikilizi taarofa za habari na breaking news. Wake wanaokwenda Makka kuhiji wanazungumzia kwamba pamoja na joto liliopo mnasali nje ya misikiti ya Makka na Madina kuna AC nje sio ndani mpaka barabarani. Joto haliwapati tena.

    ReplyDelete
  16. Hongera Sultan wa Oman!Maendeleo kama haya ndiyo yana tia moyo.Siyo maendeleo ya misaada na sisi tusi rudi nyumbani.Maerekani waondoke Tanzania siyo hapo kwao na wachukuwe misada yao kuwareno.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...