Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, akizungumza na Mabalozi wanaziwakilisha nchi zao katika Umoja wa Mataifa ( hawapo pichani) katika mkutano huo uliofanyika siku ya Jumanne, Ban Ki Moon alianisha vipaumbele vyake kwa mwaka 2013, miongoni mwa vipaumbele hivyo lipo suala la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambapo alisema mwaka huu wa 2013 lazima uwe na mtazamo mpya katika kukabiliana na hali ya DRC
Home
Unlabelled
Mwaka 2013 uwe wa mtazamo mpya kuhusu DRC- Ban Ki Moon
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
mbona hapa tunaelewa.na ameongea bankimoon sio mtanzania.wewe ulie mtanzania unashindwa nini
ReplyDeleteMONUSCO;
ReplyDeleteHaya Majeshi ya UN Mashariki ya Kongo yanatumia Uchakavu wa Bajeti ya US$ 1.4 Billion kwa mwaka huku yakiwa hayapewi 'Mandate' kamili au 'meno' ya kukabiliana na Makundi Waasi M-23 (CNDP),FDLR na mengineyo na badala yake yanalinda Amani tu.
Matokeo ya Mwendo huu:
1.Gharama ya Mzigo huo zinabeba nchi wanachama wa UN kwa kazi isiyozaa Ufanisi.
2.Muda unakwenda huku wahanga wa vita wanawake na watoto wakiendelea kubakwa na kuuwawa na Waasi.
3.Waasi na Majeshi ya Misituni yanapata Kiburi hivyo vita inakuwa haikomi (Mfano Waasi wa M-23 walivyoingia Kivu Novemba 2012 bila kizuizi).
4.Usimamizi wa Amani inakuwa ni Saccos ya Majeshi ya Waasia ktk MONUSCO na Wahindi kuvuna Dola ($$$) za bure za UN.
5.Kama UN inataka kufanya mpango wenye Tija ingetoa kinga ya kuruhusu 'Mandate' hiyo na kukabidhi Bajeti hiyo US$ 1.4 Billion kwa Mwaka kwa Majeshi kama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania WAONE KAMA MASHARIKI YA KONGO HAPATAKUWA NA AMANI?,,,WEWE HATA INZI HATAWEZA KURUKA KUTOKA POINTI A HADI B!!!