Enzi hizo wengi walicheza chacha kila mara ngoma ya Carlos Santana ya Black Magic Woman ilipopigwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. henhehehehehe!

    Ama kweli maisha mzunguko, hivi sasa tunafuta jasho za vipara vyetu vya utosini!

    Muziki huu unanikumbusha pale Magott Club moja ya usiku kwa huduma za akina dada na Muziki.

    Mziki huu kama unavyopigwa na kama alama ya 'DOLE' inayoonekana mwanzo siku moja nilishuhudia Mkandarasi wa Kampuni ya Ujenzi wa barabara ya Kajima Mjapani akiwa amemchomeka dole kwa nyuma patna wake mwanamama aliyekuwa amemkumbatia na kucheza naye Bluz la huu wimbo wa Carlos Santana!

    Hayo ndiyo yalikuwa maisha ya usiku ya Jijini Darisalama miziki kama hii ikipigwa kwa miaka hiyo ya 1985-1986 hivi!

    ReplyDelete
  2. Huu ni muziki wa zamani sana miaka ya Sabini,wakati huo jumba la sinema la Empire Cinema,alikuwepo mmiliki wake hapo,rafiki yangu "Muchacho",sina hakika kama bado yuko hai,"Mwenyezi Mungu amnusuru",muziki huu ulikuwa kama "appetizer",lazima upigwe wakati mkisubiri Picha yenyewe! acha bwana,enzi zile hazitarudi,pesa yenyewe ilikuwa ndogo,lakini,ilitosheleza kuleta furaha na burudani moyoni!watanzania wakati huo,walikuwa hawaujui "Utapeli",au "Udanganyifu wa Kiusaliti",yalikuwepo "Mapenzi" na "Upendo",kwa maana halisi ya maneno yenyewe!wakati ule,Mjomba aliyeishi na kufanya kazi Dsm alisikia uchungu akikumbuka kwao Kijijini na dhamira yake ilimsukuma kuagizia Watoto wa nduguze kule kijijini,waende Dsm kumtembelea,japo nyakati za likizo,na alisikia fahari kufanya hivyo,lakini sio siku hizi!Carlos Santana ni mmoja wa Wapiga Magitaa ya nyuzi Dozen mashuhuri sana kutokea hapa Duniani,akienda sambamba na gwiji mwingine aliyeitwa Jimmy Hendrix,wa jiji la New York!Bila kumsahau mjomba James Brown,"the mighty soul digger"!......,to....y,.....R.I.P."all soul veterans of the gracious times"!...michuzi unatupa machungu ndugu yangu......

    ReplyDelete
  3. Mdau wa 3 juu Anony wa Fri Jan 11, 11:08:00 AM 2013

    ..Nafikiri ''Muchacho'' yupo hai, ni yule mtengeneza vyakula vya Mahanjumati aliyekuwa na Maskani yake maeneo ya Kariakoo Gerezani-Kipata na sasa amehamia maeneo ya Upanga akifanya kazi hiyo hiyo ya vyakulam na Machips na Mishikaki.

    ReplyDelete
  4. Jamani mara zote zamani ilikuwa raha,

    Kizazi kipya hamtupati ng'o!

    ReplyDelete
  5. Muziki huu wa Carlos Santana ni mtamu kwa idara zote,

    Kuanzia unapokuwa mezani kwa chaklula,

    Unapokuwa Baa unakata maji ndio usiseme!

    Hata ukiwa ndani ya futi sita kwa sita kwa chakula cha usiku ndio kabisa ni kama unakula 'asali kwa maziwa',,,Jamani enzi hizo tulipokuwa Mabrazameni tuliutumia sana kwa Tija Muziki huu!!!

    ReplyDelete
  6. Za Kale zooote ni Dhahabu, hebu angaloeni Muziki wa Bob Marley ,je uko vipi?

    ReplyDelete
  7. Muziki huu wa Carlos Santana mimi inanikosha sana ile 'melody' yake lainiiii!

    Yaani unasikia vinanda soft soft!

    ReplyDelete
  8. Mdau wa kwanza anony Fri Jan 11, 09:30:00 AM 2013

    Hahahahahaha!

    Umenichekesha sana!

    Nilikuwa na 'stress' fulani leo, naona imeshuka baada ya kicheko changu niliposoma maoni yako.

    Mjapani alikuwa anajinafasi na kujipukutisha majasho baada ya kubeba zege kutwa akijenga barabara ya Kajima.

    Hakuona njia ingine ya kujiliwaza bali asitumie 'DOLE' lake kwa kiumbe mwingine ?

    ReplyDelete
  9. Mdau wa nane (8) si uongo Muziki huo mimi enzi hizi nikiwa brazameni niliutumia sana nikiwa ndani chumbani kwangu huku nikiosha jando langu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...