Piga ua lakini mwamba wa muziki toka Nigeria Fela Anikulapo Kuti hatosahaulika katika safu ya nyota wa muziki halisi wa bara la Afrika. Msikilize katika ngoma hii ya 'Lady'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Fela Anikulapo Kuti-(R.I.P)

    Jamaa alikuwa Kijogoo sana alikuwa na wake zaidi ya 70 na Mademu ndio usiseme kila akimaliza Dansi usiku anapata Bibi mpya!

    Vijogoo alio waacha nyuma ni kama hawa:

    1.Nchini kwake alimwacha Gen. Sani Abacha-Scorpion ambaye naye sasa ni Marehemu!

    2.Yupo Bongwa mwingine Mfalme Muswati kule Swazi ambaye kila mwaka anaopata mkw mpya!

    3.Hapa Tanzania VIJOGOO WOTE NI WAFUASI WA FELA ANIKULAPO KUTI NA MFALME MUSWATI!!!






















    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...