Ngoma ya 'Asha' ya Tabora Jazz band miaka ya 70 ilikuwa haina mshindani
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal - enzi hizo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nilikuwa bado mdogo sana ila naukumbuka huu wimbo,wazazi wangu walikuwa wanaucheza kwa kwenda mbele.Kuna zile Plea(Player),walikuwa wanabandika santuri kubwa(CD),weee speaker inaweza kuwa hata kibuyu.Ankal,hii bendi ndiyo ilipiga `Dada L(R?)emi...ndiyo bwana...ndiyo bwana?
ReplyDeleteDavid V