Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Lesson: Si lazima uwe uchi ndo uweze kunengua

    ReplyDelete
  2. Du mwana hapa umenikumbusha mbali sana, enzi hizo tulikua na jerani yetu alikua na radio cassete yenye milango miwili ya kuweka kanda, tulikua tunamuomba atoe nje radio japo alikua akiogopa kuibiwa na alikua akituwekea kanda bongo man,palikua hapatoshi kule uswazi kwetu.Nakumbka pia mitaa flani kulikua na club ya pombe za kienyeji bila ya wimbo huo hujauza kinywaji.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...