Ngoma ya LEKA DUTIGITE VIDEO YA KIGOMA ALL STARS SI MCHEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. safi saaaana ... Kigoma ujiji, kasulu, heru juu mpaka manyovu. Kigoma inahitaji upendeleo kidogo tu ili kuwa super. Vipaji vinatisha ukianzia muziki, mpira wa miguuu na sasa siasa.

    Big up guys!!!

    ReplyDelete
  2. Du kaka tangu ulipoanza kuweka nyimbo za bongo flavour leo ndiyo umeweka kibao ninachokipenda kuliko zote. Vijana wameonesha kipaji cha hali ya juu, pia wamethibitisha kwa vitendo kwamba Umoja ni Nguvu! Well done and Keep it up!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...