Ngoma ya 'Makumbele' ya Maquis Du Zaire wa mpiga solo mkali Vumbi Kahanga Dekula hautochuja kwa karne 10 zijazo. Sikiliza nyuzi bin nyuzi hizo za ngoma hii iliyokarabatiwa upya na Vumbi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hii ndo twapenda Wanamziki wetu wawe na usongo wakuuvusha muziki wetu nje ya mipaka ya Tanzania.
    Makumbele imekarabatiwa kikamilifu,sound safi upangaji wa vyombo maridadi...vijana fwateni nyayo ya walio watangulia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...