Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu wa Kanisa la KKKT baada ya sherehe ya Kusimikwa Wakfu Askofu Mkumbo katika kanisa la KKKT la Singida leo Januari 6, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya kati Dkt Alex Seif Mkumbo (mwenye fimbo) pamoja na viongozi wa kanisa hilo wakiongozwa na Askofu Mkuu Dkt Alex Gehaz Malasusa (kulia kwa Rais), Msaidizi mpya wa Dayosisi hiyo Mchungaji Syprian Yohana Hilinti (wa tatu kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Kone na viongozi wengine katika sherehe ya Kusimikwa Wakfu Askofu Mkumbo katika kanisa la KKKT la Singida leo Januari 6, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na kiongozi wa kanisa la KKKT nchini Dkt Alex Gehaz Malasusa baada ya kupokea kamba kama ishara ya kupokea zawadi ya ngombe toka kwa Dayosisi hiyo huku Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya kati Dkt Alex Seif Mkumbo akishuhudia katika sherehe ya Kusimikwa Wakfu Askofu Mkumbo katika kanisa la KKKT la Singida leo Januari 6, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipkea ripoti ya mkoa wa Tabora toka kwa Mkuu wa Mkoa Mhe Fatma Mwassa huo aliyosomewa mara baada ya kuwasili kuanza ziara ya kikazi ya siku nne
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na kiongozi wa kanisa la KKKT nchini Dkt Alex Gehaz Malasusa na Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya kati Dkt Alex Seif Mkumbo baada ya sherehe ya Kusimikwa Wakfu Askofu Mkumbo katika kanisa la KKKT la Singida leo Januari 6, 2013.PICHA NA IKULU
RAISI WA WATU WOTE...WELL DONE HIS EXCELLENCY FOR SHOWING LOVE, CARE AND UNDERSTANDING TO ALL SECTIONS OF THE PEOPLE YOU LEAD.
ReplyDeleteWEWE NI MFANO MZURI WA KUIGWA NA TUNAJIVUNIA KUWA NA RAISI WA AINA YAKO; MUNGU AENDELEE KUKUPA HEKIMA, BUSARA NA AFYA NJEMA KATIKA KUTUTUMIKIA SISI WANANCHI NA TANZANIA YOTE KWA UJUMLA.
MUNGU IBARIKI AFRIKA,MUNGU IBARIKI TANZANIA.
KIJANA WAKO;
DR. WWK
Well done Mr President J.Kikwete God bless you
ReplyDeleteRais Kikwete mungu akubariki, hakika Wewe ni rais wetu watanzania na tunajivunia.
ReplyDelete