Rais Jakaya Mrisho Kikwete akfungua rasmi jengo jipya la hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya leo Januari 16, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na baadhi ya Wafanyakazi wa hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam mara baada ya kufungua jengo lake jipya leo Januari 16, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia baadhi ya wafanyakazi na uongozi wa hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya leo Januari 16, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na uongozi wa hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam mara baada ya kufungua jengo lake jipya leo Januari 16, 2013. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. What's with the Nazi sings on the welcome sign???

    ReplyDelete
  2. I notice that as well, is it a Nazi sign over the welcome banner

    ReplyDelete
  3. Wajerumani walikopi alama hiyo ya Dini ya Ki-Hindu ambayo inavidoti vinne na kutamkwa OM kama ktk Om Ashanti au Aum Ashanti na kwenda kutumia vibaya kama vili ni ya asili yao ya Ujerumani ya Hitler kwa kuondoa vidoti vinne..

    Kwa ufupi Wajerumani Wanazi chini ya Hitler waliigiza alama ya Wahindu na kuanza kutumia miaka ya 1900 wakati Wahindu wamekuwa wakitumia alama yao hiyo kwa miaka zaidi ya elfu 5000 ktk dini yao ya Ki-Hindu na ktk mahekalu yao ya Ki-Hindu soma zaidi kwa kutembelea http://www.religionfacts.com/hinduism/symbols/aum.htm

    Mdau
    Mitaa ya Uhindini DSM

    ReplyDelete
  4. Mdau wa tatu umewapa somo zuri hao! maana kesho tu ungesikia mengine! watu hamwishi kuchokoa chokoa ya watu nyie! yatawashinda!

    ReplyDelete
  5. Mdau namba tatu asante kwa kutuelimisha maana na mimi kitu cha kwanza kuona ni hiyo alama ya 'Hitler'

    ReplyDelete
  6. Na kweli hiyo NAZI sign ndio kitu cha kwanza nimekiona.....

    ReplyDelete
  7. Mungu ampe ummri mrefu na afya njema daktari wetu Kaushik.

    ReplyDelete
  8. alama hii ni kama msalaba hata msalaba una miaka elfu mbili tu wakati wahindu ni alama ya BC 9BEFORE CHRIST)

    ReplyDelete
  9. Hongera! Hongera!Hospitali ya Hindu Mandal.Nina kumbuka marafiki walio kuwa wanafanya kazi hapo.

    ReplyDelete
  10. Nimefurahi kumuona dr kaushik

    ReplyDelete
  11. Mdau wa tatu, unaaochongea ni kweli wajerumani waliegeuza hiyo alama ya amani kuwa ya ubaguzi. Lakini toka Hitler aitumie hiyo alama, mtu mweusi ukipita sehemu yoyote mataifa ya Magharibi au Ulaya penye alama hiyo unajua hapo si amani. Naelewa hao wahindi wanasadia Bongo lakini si lazima watulazimishe kuleta izo alama kwani wanaelwa zinaleta kumbumbuku mbaya kwetu. Hizo alama zimepigwa marufuku Ujerumani. Na kwa Bongo nimeziona hizo alama kwenye dala dala za watu weusi vile vile, nadhani wanaelewa zinamaanisha nini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...