Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemaliza ziara yake ya Kiserikali ya Siku tano nchini Ufaransa leo, Januari 23, 2013. Zifuatazo ni picha mbalimbali wakati akiagwa na mwenyeji wake, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Orly, Ufaransa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. kwa expences za watanzania sasa mheshimiwa peleka jeshi la tanzania mali maana hakuna lingine kwa mwaliko huu. ili tukumbuke Sisi watanzania tunajipandikizia chuki kwakujifanya tukiambiwa kila kitu tunatumiwa na tunajiweka pabaya. mialiko kama hii hutosikia Rober Mugabe anaalikwa kwasababu ni raisi wa dignity na anayewajua wabaya wake.

    ReplyDelete
  2. Raisi kikwete muuliza Nelson Mandela promisses alizopewa na Westerns mpaka leo nchi imekaa kama ilivokuwa wakati wa ukoloni. Tusiwe watu wakibaraka

    ReplyDelete
  3. Mhhhh, Rais wetu kapata heshima kubwa sana Ufaransa. Hapa bila shaka tayari kuna mkataba wa kishenzi umeshaingiwa, maana hawajamaa hawana urafiki na mtu bure bure tu. Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  4. Kweli nimekubali wazungu ni wabaya sana!

    ReplyDelete
  5. HONGERA RAISI KIWETE!

    Kazi umeifanya kwa kukaribishwa kwa Matarumbeta na kuonana na Kada mbili nchini Ufaransa, yaani

    (1.)KADA ya Utawala wa Serikali chini ya Waziri Mkuu Francois Hollande.

    (2.)KADA ya Seneti chini ya Raisi wa Seneti ya Ufaransa.

    KWA UZITO WA SAFARI YAKO TUMESHUHUDIA UKIAGWA KWA MATARUMBETA KAMA VILE NDIO UNAKARIBISHWA NCHINI HUMO, KITU HIKI NI WACHACHE HUPATA WAKIFIKA UFARANSA (WENGI HUKARIBISHWA KWA MBWEMBWE NA
    !!!

    KARIBU NCHINI TANZANIA UFANYE KAZI ULIYOITIMIZA HUKO UFARANSA!!!

    ReplyDelete
  6. mheshimiwa ankali michuzi haya anza kudandia mchuma tena au unasubiri upate taswira za mwisho mwisho najuwa ukirudi nawewe utaanza vakesheni zako za ughaibuni upate taswira za kwenye barafu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...