Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa Msumbiji na Indonesia ikulu jijini Dar es Salaam.
Mhe.Zakaria Anshar wakiwasilisha hati zao za utambulisho kwa Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Balozi mpya wa Msumbiji nchini Tanzania Dkt.Vicente Mebunia Veloso na Balozi Mpya wa Indonesia nchini.(picha na Freddy Maro).
Huu ni msuli nadhani alovaa Mheshimiwa Balozi wa Indonesia, inapendeza sana.
ReplyDeleteHahahahaha
ReplyDeleteBalozi wa Indonesia anayaweza sio mchezo ameubeba Utamaduni wao kwa nguvu zoooote!
Hivi jamani pana Balozi wa Tanzania atamudu kujitambulisha Uingereza au Marekani akiwa mevaa VIATU VYA MATAIRI (KATA MBUGA) NA LUBEGA?
HAHAAAA MSULI KIUNONI?
ReplyDeleteSisi Mabalozi wetu huko Majuu ni masuti kwa kenda mbele!
eheeeee!
ReplyDeleteHuyo Balozi wa Indonesia na shuka lake kiunoni picha ya kwanza juu yupo kikweli kweli au yupo katika Komedi???
Sisi Mabosi wetu iwe wa Kiume na siku hizi hadi wa Kike, ni mikoti mikoti tuuuu tene mingi ya rangi nyeusi kama wamezaliwa nazo vile!
ReplyDeleteEnheee Balozi Mganga wa kienyeji?
ReplyDeleteHawa Mabosi wetu hakya ya nani hakuna utakaye mvalisha Msuli kiunoni!!!
Ikitokea hawa Mabossi wetu wa Bongo kuvalishwa Lubega kama huyo Mhe.Balozi wa Indonesia kuvaa Msuli, LABDA MABOSSI WETU WA KIKONONGO WATAKUBALI HILO KWA AHADI YA KUPANDISHWA VYEO,KUHAKIKISHIWA DAIMA KUFANYIA KAZI JIJINI DARISALAMA AMA KAMA WAPO MIKOANI KUHAMISHIWA DAR KIKAZI AU KUONGEZEWA MISHAHARA!
ReplyDeleteEbwanaa eee hivi kumbe Mamwinyi Ufalme wao mpana sana!
ReplyDeleteKweli huu Umwinyi ni World wide Elite!
Lindi,Kilwa,Mtwara,Mafia,Rufiji,Bagamoyo,Tanga na Pangani mmeona hiyo?
Mamwinyi Mabalozi na Misuli yao hadi Indonesia?