Mhe. Rais Rajoelina akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili. |
Mhe. Rais Rajoelina akiwa amefuatana na Mhe. Membe mara baada ya kupokelewa. |
Mhe. Rais Rajoelina akipita katikati ya Gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake huku akisindikizwa na Mhe. Membe |
Mhe. Rais Rajoelina akiwa na Mhe. Membe wakifurahia burudani ya ngoma za utamaduni zilizokuwepo Uwanjani hapo mara baada ya kuwasili. |
Aisee Rais Mtoto kabisaaa, alafu uniambie eti mzee wa miaka 60 kwenda 70na huko anataka kugombea uraisi? hatutaki wazee saivii kwanza wanaongoza kuchapa usingizi tuu hawapo makini hata madereva wazee sio makini sio wazuri kabisa,nguvu ya vijana tu hata akiwa na miaka 28 .
ReplyDeleteHuyu bwana mdogo bado hata ananuka maziwa hakafu ndo anaongoza Nchi! sasa yeye hata hajui mambo ya itifaki, mwanajeshi anampigia saluti yeye anampa mkono! wajameni Mweeeee.
ReplyDeleteSIASA KITU CHA AJABU,HUYU MEMBE ALISHA MUITA HUYU JAMAA DISCO JOKER LEO ANAENDA KUMPOKEA AIRPORT NA ZULIA JEKUNDU
ReplyDeleteKwani hamjui kuwa huyu ni DJ madhuhuri na mtaalam, nashangaa ma D J wazalendo hawajihusishi na siasa
ReplyDelete