Msanii mahiri wa Muziki wa kizazi kipya" Roma Mkatoliki"akiwapagawisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam,waliofika kwenye ufukwe wa bahari ya Hindi coco beach,katika Tamasha la kuukaribisha mwaka mpya liliandaliwa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya wateja wake kwa msimu huu wa sikukuu.
Msanii chipukizi (underground)wa muziki wa kizazi kipya"Z-Thinker "wa Mabibo jijini Dar es Salaam akitoa mistari yake kabla ya Msanii"Roma Mkatoliki" kupanda jukwani na kuwapagawisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam,waliofika kwenye ufukwe wa bahari ya Hindi coco beach,katika Tamasha la kuukaribisha mwaka mpya liliandaliwa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya wateja wake kwa msimu huu wa sikukuu.
Msanii chipukizi(underground)wa muziki wa kizazi kipya"More Dreamer"wa manzese jijini Dar es Salaam akitoa mistari yake kabla ya Msanii"Roma Mkatoliki" kupanda jukwani na kuwapagawisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam,waliofika kwenye ufukwe wa bahari ya Hindi coco beach,katika Tamasha la kuukaribisha mwaka mpya liliandaliwa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya wateja wake kwa msimu huu wa sikukuu.
Hongera vijana kwa kuwa wabunifu na kujiajiri...by the way nampongeza sana Roma ni kati ya wasanii wachache wanaowasiliana sana na mashabiki wao kupitia social media, wengine hizo Facebook accounts/pages zifungeni tu.
ReplyDelete