Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya mamlaka ya uendelezaji bonde la mto Rufiji (RUBADA), Prof. Raphael Mwalyosi (wa pili kushoto) akipokea ripoti na mapendekezo ya mradi wa kuzalisha umeme wa Stiegler’s Gorge kutoka kwa Mkurugenzi wa Biashara wa kampuni ya nchini Brazil ya Odebrecht International, Bw. Fernando Soares jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa RUBADA, Bw. Aloyce Masanja na Balozi wa Brazil nchini Tanzania, Bw. Fransisco Luz (mwisho kushoto).
Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya uendelezaji bonde la mto Rufiji (RUBADA), Bw. Aloyce Masanja, akipokea ripoti na mapendekezo ya mradi wa kuzalisha umeme wa Stiegler’s Gorge kutoka kwa Mkurugenzi wa Biashara wa kampuni ya nchini Brazil ya Odebrecht International, Bw. Fernando Soares jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine katika picha ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya RUBADA, Prof. Raphael Mwalyosi (mwisho kushoto) na Balozi wa Brazil nchini Tanzania, Bw. Fransisco Luz (wa pili kushoto).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Wapeleka ujinga wao.Rufiji ina hitaji kuwa na msaada kutoka nchi za kislamu.Tume choka waislamu kuendlea kufanya wajinga na kuonea.It goes both ways. You treat people like they are bunch of bullshit.Get out of Tanzania.Resign President Kikwete.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...