Salaam.
Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza bodi ya utalii kwa juhudi za hali ya juu walizozifanya kuitangaza nchi yetu kwenye ramani ya utralii duniani.
Mwaka jana mwezi November kulikuwa na maosnyesho ya kitalii ya dunia yaliyofanyika hapa UK na banda la Tanzania ndio lililovutia kuliko mabanda yote mia mbili yaliyokuwepo hapo kutoka nchi ozote duniani Kama unavyoona Tanzania ilifunika na sisi kama jina letu lilivyo la kizalendo(Serengeti) tulikuwa very proud na nchi yetu.

Kwa kuwaunga mkono, kampuni yetu itatengeneza vipeperushi(flyers ) ambavyo vitakuwa na matangazo ya vuvutio vya utalii wa tanzania na kuvisambaza UK yote, pia tutaangalia uwezekano wa kurusha haya matangazo kwenye television na redio za huku UK.
Haya tutayafanya kizalendo kama mchango wetu katika kuitangaza nchi yetu

Regards
CHRIS LUKOSI
DIRECTOR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kwa hili bwana mkubwa tupo pamoja kama mzalendo japo nilihuzunishwa sana na taarifa yako uliyoitoa hapa takribani mwezi sasa.Sijui uligundua kwamba ulichafua hewa hapa maana kama ulisoma maoni yote nadhani ujumbe ulikufikia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...