Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) Bi. Valerie Msoka akikabidhi maoni ya chama hicho kuhusu Katiba Mpya kwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Prof. Mwesiga Baregu katika ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam leo. Wengine toka kulia ni Wajumbe wa Tume, Dkt. Salim Ahmed Salim, Bw. Simai Mohammed na Bi. Jessica Mkuchu.
Home
Unlabelled
TAMWA WAWASILISHA MAONI TUME YA MABADILIKO YA KATIBA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TAMWA hongera! Young ladies mbona kimya kimya make some kelele.Mara nyingi nina soma contributions za wanachama wenu kwenye gazeti ya Serikali.Keep up the Good Work!
ReplyDelete