
Mpenzi
msomaji, wa Gazeti la HABARILEO, tuletee picha za harusi, Kumuaga Bi Harusi,
Uchumba, Ubatizo, Kipa imara, na nyinginezo, nasi tutazichapisha bureee katika
Ukurasa huu.
Unaweza
kutuletea moja kwa moja katika Ofisi zetu Zilizoko Jengo la Daily News Makao
Makuu, Barabara ya Mandela Tazara (Tunatazamana na Ofisi za TAZARA), Dar es
Salaam au kupitia anuani ya barua pepe habarizapicha@gmail.com
–MHARIRI.
PIA waweza kuzituma kwa barua pepe:- mrokim@gmail.com
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA +255 755 373999 AU +255 717 002303.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...