1. HP Color LaserJet 2550L printer - $300
2. HP LaserJet 1022 printer (Black and White) - $250
3. HP LaserJet 4250DTN printer (prints in Black only) -$400
4. Minolta CS Pro 4000/5000 (prints in Black only) - $350
5. Canon - NP 1820 Copier/Printer (prints in Black only) - $400
6. Fargo DTC525 Color Double-Sided ID Badge Card Printer (2 units) -$1250 each
7. Lot of 10 used Dell GX745 desktop computers with peripherals - $250 each
8. Office furniture: 15 used office chairs and 8 used PC desks - $1050 for whole lot
9. ID Badge photo/passport photo
cameras, tripod, background screen) - $450
Please contact 0715 455 346 or computersDAR@gmail.com

hivi vitu vinavyouzwa vpo dar au vipo america. kama vipo dar hivi dar inatumika dola au shilling, kama ni shilling hamuoni kama mtawapa shida watu kwa hizo price kwa nini musiweke tu kwa bei za kwetu dar then mkachange kwa currency mnazotaka wenyewe baada ya kuuza. jamani muwe mnathanimni vya kwenu.
ReplyDeleteFri Jan 25, 07:27:00 pm 2013
ReplyDeleteUtawaweza MALIMBUKENI?
hapana jamani tushiwe washabiki sana nadhani hawajasema hawatapokea malipo ya madafu.hiyo ni lugha ya biashara tu kujiridhisha wao wenyewe.La msingi tuone tu ubora wa vitu hivyo wanavyouza hata kama ni used basi viwe walau vina garantee fulani kwa mtumiaji wa pili.Mie ni mdau mkubwa katika vitu hivyo vya stationary na nimependa hiyo tangazo.Ndio la msingi tuache kutukana na kudharau la msingi kuwaomba tu waandika wanapokea tsh equivalent.Ok hongereni sana.
ReplyDeleteTanzania siku hizi tunatumia dola badala ya shs?
ReplyDeleteMimi nawapa support ndugu zangu wa Mtwara. Tangu tuzaliwe sisi au tangu nchi yetu ipate uhuru hadi leo hii Mtwara imeonekana kama ni mkoa ambao hatakiwi kuishi binadamu kabisa. Hata ukiangalia viongozi wa nchi safari zao za kwenda mikoa ya kaskazini wakitokea Dar karibu kila siku, na wanalala huko siku 2 au 3 mpaka wiki. Lakini Mtwara kamwe kwa mwaka ni mara moja tu. Nakumbuka hata mfanyakazi akihamishiwa Mtwara, wengine huwa wanaacha kazi yenyewe kabisa eti kisa kahamishiwa Mtwara. Na baadhi ya wizara mfanyakazi wake akikosa basi huwa utasikia uhamisho kwenda Mtwara. Yaani Mtwara imekuwa kama sehemu ambayo haitakiwi kuishi binadamu. Sasa hii GAS iachwe Mtwara pengine itaja vutia wafanyakazi na wawekezaji na kuifanya Mtwara iendeleee. Madai yote yawe ya Amani na utulivu.
ReplyDeleteMkaulize bandarini na container terminals wanachaji dola ngapi kila siku kama container storage fees.
ReplyDelete